Wednesday, May 23, 2012

Mwandosya ala kiapo pekee Ikulu

Waziri asiyekuwa na wizara maalum Prof. Mark Mwandosya akila kiapo ikulu






Rais Jakaya Kikwete akimpongeza Prof. Mark Mwandosya baada ya kumkabidhi nyaraka za kazi muda mfupi baada ya kumwapisha kuwa Waziri asiye na wizara maalum

Monday, May 21, 2012

Cameron akishangilia Chelsea bingwa ulaya

David Cameron Waziri Mkuu wa Uingereza anashangilia ushindi Chelsea mbele ya viongozi wenzake hapo ilikuwa ni uzalendo zaidi sio ushabiki
Ubingwa mtamu hapa naye Obama alishangilia sijui alikuwa upande gani mama Chansela Angela Markel wa Ujerumani anasikitika Bayern Munich ilivyotolewa
Chelsea wakikata mitaa ya London na kombe la ubingwa kwa kishindo
Jana mitaa ya London
London ilirindima na ushindi wa Chelsea ilipowasili kutoka Ujerumani
Add caption

Kikwete akiwa ziara ya Marekani

Rais Jakaya Kikwete katikati akijadili  katika kongamano la Usalama wa Chakula nchini Marekeni
Rais Jakaya Kikwete na Rais  Barak Obama wa Marekani wakati wa Mkutano wa G-8 ambao pia umezungumzia usalama wa chakula barani Afrika Rais Kikwete amealikwa kuhudhuria mkutano huo

Wednesday, February 8, 2012

Nusu fainali Kombe la Mataifa Afrika Live

NUSU FAINALI KOMBE LA MATAIFA YA AFRIKA:

Zambia    1 - 0   vs                     Ghana                        - FT

Ivory Coast               vs          Mali                        - 19:00

Kifungua kinywa cha leo


Saturday, February 4, 2012

Saturday Sport Live

Matokeo  Live: Refresh page for update



Christopher Katongo( Zambia)
ROBO FAINALI KOMBE LA MATAIFA YA AFRIKA   

Zambia    3  - 0      vs    Sudan                               -  FT






Ivory Coast   3 - 0   vs    Equatorial Guinea           - FT







Ligi Tanzania Bara 

Simba  0 - 1   vs   Villa Squad                - FT


English Premier League  

Arsenal  7 - 1  vs  Blackburn Rovers            - FT

Manchester City 3 - 0  vs   Fulham               - FT


















Wednesday, February 1, 2012

Shoka lanasa kichwani, apigwa na majambazi

Mmoja ya wagonjwa ambaye ameletwa katika hosptali ya Taifa ya Muhimbili akiwa na shoka lililonasa kichwani baada ya kupigwa na majambazi akiwa katika lindo usiku. Majambazi yalivamia katika nyumba aliyokuwa akilinda na kumpiga kwa shoka kichwani na kisha kupora baadhi ya mali ya mwajiri wake.

Tuesday, January 24, 2012

Kikwete aongoza mazishi ya Sumari


Rais Jakaya Kikwete akiweka shada la maua kwenye kaburi la Marehemu Jeremiah Sumari. Mazishi hayo yalifanyika Akheri Arumeru Arusha

Spika wa Bunge la Tanzania akimpa pole mke wa Marehemu Jeremiah Sumari Miriam Sumari wakati wa mazishi yaliyofanyika Akheri Arusha
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akitoa heshma za mwisho kwenye jeneza la Mwili wa Marehemu Jeremiah Sumari kabla ya  mazishi